Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi na Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiendelea na ziara Mkoa wa Pwani pamoja na mwenyeji wao Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi
katika muendelezo wa utekelezaji wa muongozo wa Ofisi ya Makamo wa Rais SMT na Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais SMZ unaoelekeza pande zote za muungano kukutana kwa lengo la kubadiishana uzoefu wa utendaji wa majukumu na namna ya kukabiliana na changamoto mbali mbali katika utekelezaji wa majukumu na kukuza ushirikiano katika usimamizi wa […]