Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi (SMZ) Dkt. Mngereza Mzee Miraji na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Maakazi (SMT) Dkt. Allan H. Kijazi wakiwa katika kikao cha Mashirikiano pamoja watendaji wa Wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbuki wa WAMM Maisara Zanzibar
Mashirikiano ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) yanatarajiwa kuibua kasi ya kiutendaji katika sekta ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu ili wananchi waweze kudhimudu. Akizungumza Katibu Mkuu Wizara […]