Katibu Mkuu Dr Mngereza Mzee Miraji ameongoza kikao cha pamoja Baina ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi na Taasi ya Rais Ufatiliaji na Usimamizi wa Utendaji serikilini kilichofanyika Golden Tulip kiembe samaki -Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar Dkt Mngereza Mzee Miraji amesema wizara yake imeshakamilisha ramani ya mji wa Serikali kiutendaji kwa awamu ya kwanza ambapo maeneo sita yameshaainishwa kwaajili ya kujenga mji huo. Akizungumza mara baada ya kumaliza kikao baina ya wizara yake na Taasisi ya Rais ufuatiliaji na Usimamizi wa […]